Product description
                                
                                
                                    Kitabu hiki cha Maarifa ya Jamii ru kitabu cha kwanza cha mwanafunzi. Huu ni mfululizo wa vitabu vinne vya somo hili. Vitabu hivyo ni vya darasa ln tatu, nne, tano na sita. Kitabu kimeandaliwa Hi kusaidia kujenga umahiri katika somo la Maarifa ya Jam
                                    ..
                                    
                                        read more
                                    
                                
                                
                                
                                    Kitabu hiki cha Maarifa ya Jamii ru kitabu cha kwanza cha mwanafunzi. Huu ni mfululizo wa vitabu vinne vya somo hili. Vitabu hivyo ni vya darasa ln tatu, nne, tano na sita. Kitabu kimeandaliwa Hi kusaidia kujenga umahiri katika somo la Maarifa ya Jamii Aidha mada zilizoelezwa zinahusu mazingira, uzulendo, matumizi ya ramani na elimu ya anga. Pia, knnuni za uchumi katika uzalishaji mali zimeetezwa. 
Uandishi wa kitabu umezingatia mahitaji ya mwanafunzi katika 
kujenga umahiri wa Kusoma, Kuandika nu Kuhesabu (KKK). Hivyo, kimesheheni matini za kusoma. Matini hizo zimeandikwa katika rntindo wa ushoiri, majigambo, hadithi, majibizano nn vifunqu vya rnuneno no kufafanuliwa kwa picha na michoro. 
Maswali yaliyomo kwenye kitabu hiki yatamwezesha mwanafunzi kufikiri nn kujenga umahiri uliokusudiwa. Aidha, kazi anazopewa mwanafunzi zitamwezesha kupata uelewa wa kina no kutumia umahiri uliojengwa katika maishayake ya kila siku.
                                    
                                        read less