Categories: Children

Bibi Pipi na Mawaridi

  • ISBN: 9789912752108
  • Number of pages: 26 pages
  • Product format: Paperback
  • Author: Corona Cermak
  • Publisher: Mbiu Press
  • Year published: 2023
  • Availability: In stock
4,500 TZS

Product description

Mabishano bustanini yalishaanza kupamba moto. Bibi Pipi hakuamini alichokuwa anakisikia. Waridi Pinki alikuwa anapayuka kwa hasira, “Inatosha jamani, acheni huu ujinga!” Waridi Jeupe alikuwa akilia kwa kwikwi huku Waridi Jekundu akiwa ameivimbish

Qty

Tab Article

Mabishano bustanini yalishaanza kupamba moto. Bibi Pipi hakuamini alichokuwa anakisikia. Waridi Pinki alikuwa anapayuka kwa hasira, “Inatosha jamani, acheni huu ujinga!” Waridi Jeupe alikuwa akilia kwa kwikwi huku Waridi Jekundu akiwa ameivimbisha miiba yake tayari kushambulia wakati wowote. Waridi Njano alijawa na hofu na kufunika uso wake kwa mikono yake. Je, inamaanisha chochote mawaridi kuwa na rangi tofauti? Funua kurasa za kitabu hiki na umsadie Bibi Pipi.

0 reviews for Bibi Pipi na Mawaridi

Add a review

Your Rating