Categories: Ufugaji

Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji

10,000 TZS

Product description

Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji ni kazi inayohitaji Maarifa na Juhudi ili kupata mazao mengi na yaliyo bora. Wanunuzi hupenda kuku bora, mayai bora na nyama bora ambayo hupatikana kutokana na juhudi ya mfugaji kuweza kuwatunza kuku wake ipa

Qty

Tab Article

Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji ni kazi inayohitaji Maarifa na Juhudi ili kupata mazao mengi na yaliyo bora. Wanunuzi hupenda kuku bora, mayai bora na nyama bora ambayo hupatikana kutokana na juhudi ya mfugaji kuweza kuwatunza kuku wake ipasavyo.
Ufugaji bora wa kuku humhitaji mfugaji kuelewa na kuzingatia kanuni za ufugaji bora kuku.
Ni lazima mfugaji wa kuku wa kienyeji awe na elimu hii ili aweze kuendesha shughuli zake kwa usahihi na kwa manufaa ya wateja.

0 reviews for Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji

Add a review

Your Rating