Categories: Popular books

Sayansi na Teknolojia Kitabu cha Mwanafunzi Darasa La 5

  • ISBN: 9789976618174
  • Number of pages: 250 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: TIE
  • Year published: 2021
  • Availability: In stock
9,500 TZS

Product description

Kitabu hiki ni kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la Tano kujifunzia somo la Sayansi na Teknolojia. Kitabu kinalenga kusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojia.
Aidha

Qty

Tab Article

Kitabu hiki ni kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la Tano kujifunzia somo la Sayansi na Teknolojia. Kitabu kinalenga kusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojia.
Aidha, kitabu kina sura kumi na saba zilizoandaliwa kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo la Sayansi na Teknolojia kwa Darasa la Tano. Sura hizo ni: viumbe hai, usanishaji chakula, uzazi katika mimea na wanyama, ikolojia, kujirekebisha kwa viumbe hai kulingana na mazingira, nishati ya mwanga, nishati ya umeme, sumaku, kani katika maada, mawasiliano, mashine rahisi, majaribio ya kisayansi, usafi na afya ya mwili, huduma ya kwanza, magonjwa ya mlipuko, virusi vya UKIMWI na UKIMWI na utoaji takamwili.
Mwisho, maudhui katika kitabu hiki yamewasilishwa kwa njia ya vielelezo, maelezo na kazi za vitendo. Kitabu kimesheheni mazoezi yenye lengo la kupima uelewa wa mwanafunzi katika kila sura. Pia, kinamjengea mwanafunzi uwezo wa kukuza stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu.

0 reviews for Sayansi na Teknolojia Kitabu cha Mwanafunzi Darasa La 5

Add a review

Your Rating