Product description
                                
                                
                                    Kiswahili Kidato cha Tano na'Sita kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari rnpva 
wa mwaka 2010 wa Somo la Kiswahili kwa Shule za Sekondari, Tanzania. Kitabu hiki 
kimezingatia sana mahitaji va wanafunzi darasani na va taifa kwa ujumla. Katika kitabu hik
                                    ..
                                    
                                        read more
                                    
                                
                                
                                
                                    Kiswahili Kidato cha Tano na'Sita kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari rnpva 
wa mwaka 2010 wa Somo la Kiswahili kwa Shule za Sekondari, Tanzania. Kitabu hiki 
kimezingatia sana mahitaji va wanafunzi darasani na va taifa kwa ujumla. Katika kitabu hikl, wanafunzi watapata nafasi va kuzielewa kwa kina mada zote za 
Lugha va Kiswahili kwa vidato hivi, ambazo ni: 
1. 	Maendeleo va Kiswahili 
2. 	Maendeleo va fasihi simulizi 
3. 	Kuhakiki kazi za fasihi andishi 
4. 	Utungaji 
5. Tafsiri na ukalimani 
6.Matumizi va sarufi 
7. Fasihi kwa ujumla 
8. Ufahamu na ufupisho 
9. Utumizi wa lugha 
Katika kila sura, kuna maswali kadhaa ambavo vamekusudiwa kuwasaidia wanafunzi 
kupima uwezo wao wa kuelewa waliyojifunza. Aidha, kwa kuwa wanafunzi wa Kidato cha Sita wanakabiliwa na Mitihani va Taifa, lrneonelewa mwishoni mwa kitabu hiki, kuwe na mifano va maswali va mitihani va Kiswahili arnbavo vatawasaidia wanafunzi katika kujiandaa kwa mitihani hlyo, 
Vitabu vingine katika mfululizo huu ni: 
~ Kiswahili Shule za Sekondari, Kidato cha Kwanza 
~ Kiswahili Shule za Sekondari, Kidato cha Pili 
~ Kiswahili Shule za Sekondari, Kidato cha Tatu 
~ Kiswahili Shule za Sekondari, Kidato cha Nne
                                    
                                        read less