Card List Article
Kitabu hiki kinalenga kukuendeleza katika kujenga stadi za kuhesabu, kuandika na kusoma huku ukijenga msingi wa Hisabati. Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na tatu zilizoandaliwa ili kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo la Hisabati Darasa la tatu.