Card List Article
Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kidato cha Pili; ni kitabu cha kwanza na kipya kabisa kuandikwa hapa nchini ili kukidhi haja ya silabasi iliyopo. Kimekusudiwa kiwafae wanafunzi wa kidato cha pili. .. Kitawafanya wanafunzi na walimu wao kulifurahia s