Showing 456 to 30 of 14224 records (475 Pages)
Sort By:
text_showing_page_of_pages
Sort By:

Card List Article

FEATURES OF THIS BOOK:

-It is designed to suit Form I and II revision.

-It contain form 2 Physics national examinations of years 2003 through 2019 and there fully worked solution

-It has hints and illustrations to guide students to understand conc

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Fumo Liongo alikuwa shujaa wa mji wa Pate katika Pwani ya Afrika ya Mashariki aliyeishi kati ya karne ya 9 na ya 13. Umaarufu wa Fumo Liongo ulitokana na ushujaa, uzalendo na kipaji chake cha umalenga miongoni mwa watu wa Pate na maeneo ya jirani. Kw

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Fungate ya Uhuru ni diwani ya mashairi yanayofichua madhila wafanyiwayo
wanyonge na baadhi ya wakubwa, hasa viongozi wanyonyao jasho la wananchi na
kujineemesha migongoni mwa wakulima na wafanyakazi. Mashairi haya yanaonesha
hasira aliyonayo mwandish

4,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 3300 katika majaribio 114 na mitihani 18 ya taifa ya masomo 6 yanayofundishwa darasa la 3 na la 4. Masomo hayo ni Hisabati, English, Kiswahili, Sayansi na Teknolojia, Maarifa ya [arnii, pamoja na Elimu

15,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

YALIYOMO KATIKA KITABU HIKI:
Zaidi ya Maswali 4000 ya masomo saba yanayofundishwa Shule za Msingi (Hisabati, Sayansi na teknolojia, English, Kiswahili, Maarifa ya Jamii na Stadi za Kazi pamoja na Elimu ya Uraia na Maadili) kutoka katika mitihani ya

25,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 570 toka mitihani ya taifa ya kidato cha pili toka mwaka 2003 hadi 2018 na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa. Kamusi ya maneno muhimu yanayojitokeza katika somo la kiswahili kidato cha kwanza na cha pili.

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Maswali kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 2005 hadi mwaka 2020 na majibu yaliyoandaliwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa. Muhtasari wa somo la Kiswahili hususani kipengele cha Uhakiki pamoja na dondoo muhimu zitakazowasaidia wanafunzi wa kidat

10,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Sports and arts are important in enhancing the pupil’s mental, physical and social development. Participation in sports and arts activities helps the pupil to socialize, learn new things, make friends and communicate well with others. It also

8,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 4 wa mwaka 2020. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kupenda kujifunza zai

9,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 5 wa mwaka 2020. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kufurahia somo la Kis

9,500 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 6 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kupenda kujifunza zai

9,500 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 2 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo hivyo hadi kufikia

8,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

ADILI NA NDUGUZE
Hii ni hadithi fupi inayohusu maisha ya kawaida ya binadamu. Mwandishi anajadili dhana ya upendo kama kiini cha ura ki, mapatano, msamaha na wokovu dhidi ya madhila ya binadamu wenye wivu, chuki na mabaya mengine. Mhusika mkuu, Adil

18,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Tamthilia hii inahusu Bibi Titi Mohamed. Titi alikuwa kiongozi shupavu aliyeupipgania uhuru wa Tanganyika kwa ujasiri mkubwa akiwa mwanachama wa TANU na kiongozi wa Umoja wa Wanawake. Wakati wanaume wengi walipokuwa wakiogopa kukata kadi za TANU, wak

7,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Comprehensive lessons on map reading as required by the Tanzanian Secondary school Geography Syllabus.
Worked example to guide students on how to apply the theory of map reading to tackle various problems. More than 50 useful illustrations that will

10,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

Kitabu hiki kina mkusanyiko wa Mashairi ya Chekacheka zaidi ya 30

3,000 TZS

Publisher: APE Network

Card List Article

This book teaches Mathematics for Standard 3 as required by the Tanzanian syllabus of 2016. The topics covered include: Number Addition up to 9999, Subtraction, Multiplication, Number Patterns, Time, Units and Measurements, Money, Elementary Geometry

9,000 TZS

Publisher: APE Network